Ndovu kuu Ndovu ni kuu lyrics

Ndovu ni kuu

Ndovu kuu

GENRE
Rap
Ndovu ni kuu og
Itabidi wanijue ah ah yea yea
Basi weka mkono juu ah ah ah
You eyy

Vile na bam bam
Police wana ubaya
Dame wako vile mahanjam
Na mi sina ubaya
Kosea uniite handsome
Huskii izo ni hekaya
Felicia na lisa
Ivo ndo mi niliwaacquire cheki
Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
Sku hizi vile anameza maramoja utagwaya
Na ananringia sana flat tummy hana tyre
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya
Mtoto wangu akiitwa ku ntakataa
Hakunaga masomo ku nmekataa
Unapeleka mtoi first year introduction
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction

Ndovu ni kuu
Ahh ah ah
Na itabidi wanijue
Ahh ah ah
Basi weka mkono juu
Ahh ah ah
Yes you
Ahh ah ah
You
Ndovu ni kuu
Ahh ah ah
Na itabidi wanijue
Ahh ah ah
Basi weka mkono juu
Ahh ah ah
Yes you
Ahh ah ah

Related songs

Seven GatesAstrix & Vertical Mode PrestijD3 & 2Run Missed Call From Steve 2 Global Dan Grime VietnamЗамай и Слава КПСС Looking BackNetron Jimm Excitable Boy Warren Zevon Nerve Anna Wise I'LL SEE YOU IN 40Joji Do This By Yourself HMLTD IMAGINATERombai

Comments

Popular posts from this blog